Kamilisha orodha hii kabla ya kuendesha mafunzo ya Tor.
Andaa
Itifaki ya Usalama
Kuhusu ukumbi
Ukumbi una meza na viti vya kutosha kila mtu
 
Ukumbi una muunganisho wa mtandao na ninajua nenosiri la wifi
 
Kuna projekta au TV inayopatikana na inafanya kazi na kompyuta yangu
 
Wasikilizaji & Mawasiliano
Nilishiriki anwani ya mahali, tarehe na wakati kwa washirika wote
 
Niliwauliza washirika wote walete vifaa vinavyohitajika kwenye mafunzo
 
Nimethibitisha washiriki wa mafunzo
 
Wakati wa mafunzo
Kabla ya kuanzisha mafunzo hakikisha kuwa:
Fanya makubaliano kuhusu kupiga na kutopiga picha
 
Wasilisha ajenda
 
Jitambulishe na uulize watu wajitambulishe
 
"Maswali yote yanakaribishwa"
 
Baada ya Mafunzo
Kusanya maoni ya washiriki
 
Wacha barua pepe kwa mawassiliano zaidi na usaidizi
 
Fanya utathmini kuhusu mafunzo
 
Ripoti kwa jamii na timu ya UX