Waambie dunia kuhusu Tor

Tunapenda pale ambapo watu hutupatia taarifa kuhusu Tor kwenye matukio ya jumuiya, mikutano, na wanapokutana. Tumeratibu baadhi ya nyenzo nzuri kwa ajili ya kusambaza ana kwa ana na watukupitia mitandao ya kijamii tuwakaribisha wewe kuutumia.

Tembelea

Seti ya timu ya mauzo

Seti hii inajumuisha vipeperushi vinavyiweza kuchapishwa,vibandiko, na vitu vingine vinavyowapa watu msisimko wa kutumia Tor.

Zungumzia kuhusu Tor

Hapa utapata taarifa za maelezo ya msingi na dhana ya Tor, mawazo ya kuandaa mazungumzo ya Tor, machapisho yanayopendekezwa kwenye mitandao ya kijamii, na zaidi.

Andaa mkutano wa Tor

Jifunze jinsi ya kuandaa mikutano ya Tor na rafiki zako.

User stories

There are many reasons why people rely on Tor's privacy protections. Learn more about the real-life experiences of our diverse user base and help us spread the word.

Ofisi ya wasemaji wa Tor

Tuna kikundi kilichojitolea cha wachangiaji msingi wa Tor ambao wako tayari kuzungumza kwenye hafla yako ijayo. Unaweza kuomba mzungumzaji kwa kuwasiliana na speak@torproject.org na mada unayopendelea, hitaji la lugha, tarehe, na maelezo mengine.

Omba msemaji

Tukio la Tor linalokuja